14/03/2020 ÿú Baadhi wandishi wa khabari waliohudhuria kwatika hafla ya utoaji wa Takiwimu za ajali barabarani ambapo imeonekana kushuka kwa asilimia 13.7. kutoka ajali 51 kwa mwezi wa january 2020 hadi 44 kwa mwezi wa february 2020 . Na zanzibar 24. ED/ Juma Haji, 24/05/2020 ÿú May 24, 2020 ú *TAKWIMU ZA AJALI ZA BARABARANI KULINGANA NA CHANZO KWA MWAKA 2019* Uzembe wa dereva matukio 1160 Ubovu wa magari ajali 105 Spidi za magari ajali 288 Sababu nyingine ajali 46 Ulevi ajali 492 Uzembe wa waendesha pikipiki 72.
17/10/2020 ÿú Ajali za barabarani zilipungua kwa asilimia 10 ikilinganishwa na kipindi sawa na hicho mwaka jana. Lakini takwimu kuhusu vifo vilivyotokana na ajali za barabarani zilizotolewa hivi karibuni na idara ya polisi, zinatoa taswira tofauti.Takwimu za polisi zinaonyesha kuwa ajali za barabarani zimeongezeka kwa asilimia 1.3 mwaka huu ikilinganishwa na.
11/08/2020 ÿú Mratibu wa Elimu kwa umma PC Rajabu kutoka jeshi la polisi kitengo cha usalama barabarani mkoa wa Arusha, anasema kuwa ajali za pikipiki (bila idadi)kwamba kipindi cha mwaka 2019- 2020 Januari- Augusti kwa mkoa wa Arusha ,zimepungua kwa kiasi kubwa, kutokana kwamba wamejikita zaidi katika suala nla utoaji wa elimu ya masuala ya usalama barabarani katika makundi.
19/07/2020 ÿú Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani WHO, Ajali za barabarani humuua mtu mmoja kila baada ya sekunde 24 ,huku vifo milioni 1.35 vinavuosababishwa na ajali za barabarani vikiripotiwa kila mwaka kote duniani. Mkuu wa shirika hilo Tedros Adhanom alisema ajali zinaweza kuzuilika iwapo mikakati muafaka itawekwa ,kwani vifo hivyo ni malipo yasiyo.
Wakati takwimu za Shirika la Afya Duniani (WHO) zinakadiria watu zaidi ya 3,400 hupoteza maisha kila siku kwa ajali za barabarani , Jeshi la Polisi nchini limesema kwa mwaka 2020 limefanikiwa kupunguza ajali kwa asilimia 33.
TAKWIMU ZA AJALI ZA BARABARANI KUANZIA JANUARY 2016 HADI NOVEMBA 2020 . Road crashes statistics in Tanzania from January 2016 to November 2020 . Source: The Ministry of Home Affairs, Tanzania.
02/07/2018 ÿú Takriban watu 20 wamefariki dunia na wengine 48 kujeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyohusisha zaidi ya magari matatu mkoani Mbeya, kanda ya nyanda za juu kusini mwa Tanzania.
Ni dhahiri kwamba idadi ya ajali za barabarani zinazidi kuzua hofu humu nchini. Hata hivyo katika siku za hivi karibuni, idadi kuu ya ajali hizo imesababishw...;"